
Akizungumza baada ya mchuano baina ya timu yake na ile ya Ulinzi, Okidi amesema kuwa wachezaji wa Ulinzi walikuwa na nia ya kumjeruhi mlinda lango wake.
Akiongea baada ya mchuano Okidi alisema “Crosses mbili tatu wameingia na intention ya kumjeruhi goalkeeper, ukiangalia wamemknock karibu mara tatu, sos that was their game plan, that's not football.”
Hata hivo kocha wa Ulinzi stars Robert Matano ametaja matamshi ya Okidi kama ya kitoto, “In football like mature coach you don't talk nonsense...”Robert Matano.
Kwenye mchuano huo uliochezewa katika uwanja wa Afraha mjini Nakuru siku ya Jumapilia Ulinzi stars iliicharaza Nakuru All Stars magoli 3-1
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.